NZINYANGWA GURACHEDI
Member
- Sep 6, 2018
- 43
- 33
Mkuu @kimicro mnishi, hii kitu inaukweli sana mzee...nasema hilo kama muathirika wa hilo, nna 30yrz...na niko hom...Hilo ndo linakupa stress maana Ukikaa kwenu kubali kuwa treated Kama mtoto sasa wewe unataka Uhuru kama upo kwako na hicho ndo kinakupa stress Sana yani kila unaeongea nae unahisi anakudharau kumbe kawaida tu...!! Kuhama kwenu sio mpaka ujenge nyumba yakoo...Hama nenda kapangee mkuu