Msaada-Nimekamata Mwizi

Msaada-Nimekamata Mwizi

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,519
Reaction score
7,287
Last month nimepoteza simu-Sumsung, sasa niliifnyia tracking system. Leo kitu kimejibu nimetumiwa namba ya simu anayotumia na IMEI namba yake.(Nilivyosearch nikaona na jina lake anaitwa SALEHE CHUWA anatumia mtandao wa tigo) Baada ya kufikiri way to do nikaamua kumpigia simu baada ya kujitambulisha na kila kitu nikamwambia kwamba hiyo simu anayotumia ni ya kwangu. Akakata akasema ye hatumii samsung na anatumia TECNO na yupo morogoro(Mi nilimwambia niko dar ingawa simu nilipoteza nipo Arusha).

Sasa nimepanga kesho nimpigie tena nimsisitize airudishe hiyo simu...so naomba ushauri nifanye kipi? Manake nafikiri kama ataendelea kugoma kuirudisha basi niende tigo office nikaripoti ili ifungiwe kabisa. What is the advice wadau.
 
Kama huna kazi zingine za kufanya za maana then endelea kufuatilia ,kama unazo achana nayo nunua ingine utapoteza muda kwani ukienda tigo lazima uwe na ripoti ya polisi na polisi ukienda lazima uwe na risiti na bado huo mzunguko wake utakoma ubishi ,ushauri wangu wewe mnyime raha tu huyo mwizi ,iflash kwa pc mara kwa mara...samsung wanayo option iyo katika tracking kwamba unaweza kuilock au flash simu yako iliyoibiwa ....all the best
 
nenda police kaelezee then uende ofisi za tigo watakupa msaada
 
Kama huna kazi zingine za kufanya za maana then endelea kufuatilia ,kama unazo achana nayo nunua ingine utapoteza muda kwani ukienda tigo lazima uwe na ripoti ya polisi na polisi ukienda lazima uwe na risiti na bado huo mzunguko wake utakoma ubishi ,ushauri wangu wewe mnyime raha tu huyo mwizi ,iflash kwa pc mara kwa mara...samsung wanayo option iyo katika tracking kwamba unaweza kuilock au flash simu yako iliyoibiwa ....all the best
Hiyo simu sio android...ni ya kawaida tu kikubwa nilichokuwa nacho ni hiyo IMEI tu na namba yake.
 
Pale Police central kuna kitengo cha cyber crime hizo ndo kazi zao jaribu kuwaona
 
Last month nimepoteza simu-Sumsung, sasa niliifnyia tracking system. Leo kitu kimejibu nimetumiwa namba ya simu anayotumia na IMEI namba yake.(Nilivyosearch nikaona na jina lake anaitwa SALEHE CHUWA anatumia mtandao wa tigo) Baada ya kufikiri way to do nikaamua kumpigia simu baada ya kujitambulisha na kila kitu nikamwambia kwamba hiyo simu anayotumia ni ya kwangu. Akakata akasema ye hatumii samsung na anatumia TECNO na yupo morogoro(Mi nilimwambia niko dar ingawa simu nilipoteza nipo Arusha).

Sasa nimepanga kesho nimpigie tena nimsisitize airudishe hiyo simu...so naomba ushauri nifanye kipi? Manake nafikiri kama ataendelea kugoma kuirudisha basi niende tigo office nikaripoti ili ifungiwe kabisa. What is the advice wadau.

Umekosea sana strategy yako ya mwanzo. Ataizima aiuze japo kwa hasara kwani anajuwa kisha stukiwa.

Kama ni mwanamme ungetumia mwanamke ajifanye kapiga wrong number, halafu aanze uhusiano wa ku chat nae, siku moja au mbili ya tatu Date, hapo unamkamata vizuri na simu mkononi. Tena unaenda ku report kuibiwa simu yako kabisa, uwe na record polisi.

Siku nyingine usifanye papara kijana.
 
Hahaaa Nashukuru kwa mchango wako!! Noted(I'm /Me)
 
Umekosea sana strategy yako ya mwanzo. Ataizima aiuze japo kwa hasara kwani anajuwa kisha stukiwa.

Kama ni mwanamme ungetumia mwanamke ajifanye kapiga wrong number, halafu aanze uhusiano wa ku chat nae, siku moja au mbili ya tatu Date, hapo unamkamata vizuri na simu mkononi. Tena unaenda ku report kuibiwa simu yako kabisa, uwe na record polisi.

Siku nyingine usifanye papara kijana.

hakika MKUU kakosea sana aiseee yaani alikuwa anamkamata kirahisi sana.
yaani huyo hata kama yupo ARUSHA mbona angejileta mwenyewe dar kukamatwa??

pole sana MKUU najua hujazoea haya mambo yanawenyewe ungekuja hapa jukwaani kuomba ushauri kabla hujampigia sim nazani ingekuwa powa zaidi naungefanikisha kumkamata na sim yako ungeipata kiurahisi sana MKUU.
ushakosea mwanzo basi tena ww piga kimya mpaka utakapo tumiwa tena NAMBA nyingine coz najua akifanyacho sasa ataiuza tuuu ilikutoa mpira golini.
 
Usingempigia huyo jamaa kwanza ungewaona tigo..kwa kushirikiana na polisi then unamwambia ameshinda promosheni ya mtonyo aende branch la tigo kama yupo morogoro unatimba pale..na kumaliza ishu
 
Umekosea sana strategy yako ya mwanzo. Ataizima aiuze japo kwa hasara kwani anajuwa kisha stukiwa.

Kama ni mwanamme ungetumia mwanamke ajifanye kapiga wrong number, halafu aanze uhusiano wa ku chat nae, siku moja au mbili ya tatu Date, hapo unamkamata vizuri na simu mkononi. Tena unaenda ku report kuibiwa simu yako kabisa, uwe na record polisi.

Siku nyingine usifanye papara kijana.

Umesema kweli, ulikua mawazoni mwangu. Ndio tatzo la watoto wa siku hzi wanatenda kabla ya kufikiri. Istoshe simu yenyewe sio ya kunyima mtu kulala. Aipotezee tu.
 
Kama huyo mwizi ni mtumiaji wa jukwaa hili, basi atakuwa anafaidika sana na huu ushauri unaopewa.
 
kumbe simu yenyewe sio smartphone?
Ila anyway haya mambo ukisema uyapotezee utakuta unanunua simu mpaka utakoma...
nenda polisi tu
 
Chuwa? huyo Chuwa ni maarufu sana Kariakoo kwenye Maduka ya Simu... Uhuru
 
hebu toeni shule kidigo make wengine hata hatujui namna ya tracking simu ikipotea!!
 
Nawashukru kwa ushauri mliompa ila simu haipati na hiyo mitego yenu ya kitoto mnayomdanganya amkamate nani? Mtu mwenyewe ana papara kama nini
 
mkuu umefikia wapi?? kama bado sema tukusaidie kuingage ktk hyo issue......kama unahitaji msaada ni PM mkuu hiyo ni ishu ndogo sana....
 
Back
Top Bottom