Vp kama ata fanya Factory restore na kufuta data zote? je bado nitaweza kumkamata?Umekosea sana strategy yako ya mwanzo. Ataizima aiuze japo kwa hasara kwani anajuwa kisha stukiwa.
Kama ni mwanamme ungetumia mwanamke ajifanye kapiga wrong number, halafu aanze uhusiano wa ku chat nae, siku moja au mbili ya tatu Date, hapo unamkamata vizuri na simu mkononi. Tena unaenda ku report kuibiwa simu yako kabisa, uwe na record polisi.
Siku nyingine usifanye papara kijana.