Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

Simple, mwambie shangazi kwamba wewe una Somnambulism (sleep walking), yaani ukilala fofofo huwa unaanza kuota na unatembea bila hata kujijua, halafu inabidi mtu akikuona unatembea usingizini inabidi asikushtue kwani ukishtuliwa tu unatoka mbio/nduki/benzi. Kesi imekwisha, next please.
 

Nimeshawahi kukutwa na vituko vya aina hii, kama mara 3 hivi.

1. Nilionwa live bila chenga, nikasema sikuwa mimi.
2. Alikuja kugonga jirani kuomba chumvi kwa niliyekuwa namgegeda, nilijua mwenye mali kaja. Niliingia uvunguni, yeye akaenda kufungua mlango. Aliporudi akaniambia sio mzee mwenyewe, Game liliishia hapo.
3. Nikawa Nabii Titto, mara paaaaaaaaaaaaap. Maza house huyu hapa, sijajibu hoja mpaka leo.

Mambo ya kiume, huisha kiume kiume.
 
With confidence ukatimba mwenyewe,Maraa paaaaaaaaaaap. Huyu hapa. Kama vile nakuona ulivyopiga turn ya kurudi ulikotoka. Huku, unatetemeka.
yaan mkuu usiombe halaf yule shangazi miyeyusho kweli aisee...
 
JIBU HIVI Mkuu. ''Nilipotea Chumba, baada ya kutoka maliwatoni. sorry kwa usmbufu''.
unajua hilo nilikuwa na ila kona za chumba changu na chake kupotea hata umelewa ni ishu tupo mwisho na mwisho mkuu..!!!
 
hiyo namba 2 imenichekesha sana... kwahiyo mzee ukajikuta upo uvunguni dk 0... ha!!! ha!!! ha!!! ha!!!
 
hiyo namba 2 imenichekesha sana... kwahiyo mzee ukajikuta upo uvunguni dk 0... ha!!! ha!!! ha!!! ha!!!
Aliponiambia hivyo, nikavaa zangu na kuchomoka bila ya majadiliano naye. Japo alinilazimisha kweli tuendelee na game. Niligoma mkuuuuuuuu.
 
kaniita pale akaanza kunitega kwanza kwa kuniuliza eti "asubuhi uliniita uniambie nini... " nilikuna kichwa kwanza nikamjibu nilitaka nikuombe pasi ya kunyooshea nguo.. halaf nikawa namwangalia ataniambia nini tena!!!
 
hiyo ni sawa ila nina muda mrefu pale sikuwahi kufanya hicho kioja hata siku moja au ndo niseme imenianza jana..!!!
 
Wewe si una gheto lako na yapo jirani na ka mpenzi sasa ilikuaje ukamgongea huyo binti kwa shangazi yake? kwanini hukumpeleka huyo binti gheto lao,mimi huwa sipendi mwanaume asiye jiongeza kiakili maana akili za wanaume ni wazi kabisa ni extraordinary ila wewe ni mweupe kah,usituchoshe.
 
kaka ishu ilikuwa sio kwenda kumgonga nilienda kucheki kama ameamka pale kwenye kochi kwenda kitandani halaf nirudi zangu kulala... msala ndo ukaanzia hapo..!!!
 
Dadadekiiii we ni balaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…