Msaada: Nimeitwa Written Interview Chuo Kikuu Mzumbe

me pia wameniita kwa post ya planning ofisa
 
Yea, uwezo wa kujieleza tena kwa Kithungu(in English)fasaha na siyo kuungaunga hii lugha muhimu ya kibiashara duniani, grammar safi and speak with confidence, be fluent kama Mkapa au Nyerere Mwl! ili wakati upo kazini na unapenda majukumu ya kuajiri uweze kutoa interview iliyonyooka in order to pick the right candidates for employment.
 
Tape measure mbona kama unasoma/ulisoma shule ya kata, lugha huna kabisa it would have been better if you had just advised the person in your language - Kiswahili - kweli Bongo tuna matatizo!!!!
 
Tape measure mbona kama unasoma/ulisoma shule ya kata, lugha huna kabisa it would have been better if you had just advised the person in your language - Kiswahili - kweli Bongo tuna matatizo!!!!
Kwahiyo wahitimu wa shule za kata hatujui lugha? [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Just be confidence lady. There is nothing strange there, if you are skilled enough. But keep God ahead. OK!
 
Habari za siku watu wangu wa JF.
Napenda kuwapa mrejesho wa kilochotokea katika usaili wa Afisa Utumishi pale chuo kikuu Mzumbe.

Maswali yalikuwa manne na tulipaswa kufanya matatu huku swali la kwanza likiwa ni la lazima.

Kifupi maswali yalikuwa yakihitaji ufahamu na uzoefu wa kutatua mambo yakiHR. Pia nilikuwa na swali la current affairs lililohusu Watumishi Hewa lakini alitumia msamiati wa "Ghost Workers" so kwa wale wafuatiliaji wa mambo pepa ilimuwa kawaida.

Lakini tumuombe Mungu maana usahihishaji pia unamambo yake. Ahsanteni sana.....
 
Vipi walishakuita oral?? Maana nasikia waliita watu jumatatu iliyopita sjui ni kweli
 
Umempa ushauri mwingi lakini umeshau kumwambia aanze kupitia aliyokuwa anayasoma kwenye course yake na pia ya muhimu yaliyo nje ya course yake
 
Safi sana kk unamaneno yenye hekma
 
Mkuu hii APOSTROPHY hujaitendea haki kabisa
 
Hutapata utakachokutana nacho..uzoefu alojutana nao mtu mwingine kwenye interview si utakachokutana nacho wewe.hapo ni wewe na MUNGU tu basi.japo kwa ushauli usiingie chumba cha kutahiniwa kwa hofu,ingia kwa kujiamini kama mwajili tayali.
 
Bro kuna kitu kinaitwa insourcing and outsourcing employment kama unamaterial hayo yapitie na pia maswali yote yanatokana na field yako
 
Ndugu,
Vipi ulifanikliwa kufanya interview ? Vipi majibu ? Ni vizuri kuleta mrejesho maana kabla ya interview ulikuja pia hapa na kusema kutokana na umuhimu wake.! Haijalishi ulipata au ulikosa,leta tu mrejesho jinsi ulivyo.!
 
Anawezaje kupata feedback kama alikosa? Taasisi zetu huwa haziwapi mrejesho wasailiwa.
 
Ndugu,
Vipi ulifanikliwa kufanya interview ? Vipi majibu ? Ni vizuri kuleta mrejesho maana kabla ya interview ulikuja pia hapa na kusema kutokana na umuhimu wake.! Haijalishi ulipata au ulikosa,leta tu mrejesho jinsi ulivyo.!
Mpaka sasa hakuna majibu kimya kimetanda watu wengi waliofanya hawajapewa majibu hata wa kada nyinginezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…