Danp36
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,213
- 1,109
Habari wana jukwaa. mwezi uliopita niliibiwa pesa ,laptop na mfanyakazi nyumbani na kutoroka na vitu baadhi. katika kwenda polisi nikafungua kesi lakini shida imekuwa kwenye kumpata mtuhumiwa.
mara baada ya kuibiwa yule kijana alifunga simu ila alikuwa akiifungua usiku mpaka leo huwa anaifungua. polisi walianza mpango wa kupata print out kujua info za mwizi kupitia mitandao ya simu .imechukua mda sana,
msaada wakuu kama kuna uwezekano wa ,mitandao ya simu kujua huwa hiyo namba inatumika maranyingi kwenye maeneo gani maana huyu kijana simu yake inakuwa hewani usiku.
Nawasilisha.