Shikanyanga
Member
- Jan 10, 2020
- 24
- 14
Habarini wakuu!! Naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu.
nilikuwa msibani nikiwa na simu mfukoni ghafla my alinichomoa simu yangu,IMEI NUMBER nnayo naomba msaada Kama Kuna mtu anafahamu kutrace simu anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu kwenu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari nimesharipoti police mkuu!!Nenda karipoti polisi kwanza....
Asante kwa comment yako mkuu,umesema niende kitengo Cha cyber ila umesema wale wa kitengo wakiipata hawatanipa, Kama ni hyo Kuna sababu gani ya kwenda?Nenda polisi kuna kitengo cha CYBER sema wale mbwa wakiipata hawairudishi kwako wanakula hela ya kukufanyia kazi then wanakula hela ya mtu aliekamatwa nayo kwa kumsingizia siku ya kuibiwa simu kulikuwa na laptop ya kiasi cha sh 1.9mil yaani in short walitakiwa waisaidie jamii sema wale mbwa wamekuwa tatizo kwenye jamiii.
NINAO USHAHIDI NATAMANI NIWATUKANE SEMA NITEGEMEA MTEGO WAKAJUA MIMI SIO JINGA LAO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupoteza muda, bora ufanye mambo mengine maana uwezekano wa kuipata ni mdogo sana pengine 0.0001
Sim ganiHabarini wakuu!! Naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu.
nilikuwa msibani nikiwa na simu mfukoni ghafla mtu alinichomoa simu yangu,IMEI NUMBER nnayo naomba msaada Kama Kuna mtu anafahamu kutrace simu anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu kwenu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah Asante sana mkuu!!Acha kupoteza muda, bora ufanye mambo mengine maana uwezekano wa kuipata ni mdogo sana pengine 0.0001
Polisi watakusumbua na mwisho wa siku hutapata simu yako, nina ushahidi nilipoteza simu yangu mwaka jana July , kwa jitihada nilizoweka ningeshapata.
Wale jamaa wapo kwa manufaa yao sio manufaa ya kusaidia jamii, wanaosaidia jamii ni wachache sana wengi wao ni matumbo yao tu
Sent using Jamii Forums mobile app
TECNO SPARK K7Sim gani
Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
Mmmmh sio kwamba fidia zote lazima alipe mkutwa na mali ya watu.Nenda polisi kuna kitengo cha CYBER sema wale mbwa wakiipata hawairudishi kwako wanakula hela ya kukufanyia kazi then wanakula hela ya mtu aliekamatwa nayo kwa kumsingizia siku ya kuibiwa simu kulikuwa na laptop ya kiasi cha sh 1.9mil yaani in short walitakiwa waisaidie jamii sema wale mbwa wamekuwa tatizo kwenye jamiii.
NINAO USHAHIDI NATAMANI NIWATUKANE SEMA NITEGEMEA MTEGO WAKAJUA MIMI SIO JINGA LAO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda polisi kuna kitengo cha CYBER sema wale mbwa wakiipata hawairudishi kwako wanakula hela ya kukufanyia kazi then wanakula hela ya mtu aliekamatwa nayo kwa kumsingizia siku ya kuibiwa simu kulikuwa na laptop ya kiasi cha sh 1.9mil yaani in short walitakiwa waisaidie jamii sema wale mbwa wamekuwa tatizo kwenye jamiii.
NINAO USHAHIDI NATAMANI NIWATUKANE SEMA NITEGEMEA MTEGO WAKAJUA MIMI SIO JINGA LAO.
Sent using Jamii Forums mobile app