komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
Kama una namba ya simu lakini humjui jina lake, wewe mtumie hata buku kwenye hiyo namba yake, itakuletea jina alilojisajiri tigo pesa, hapo utakuwa umelipata jina lake, mengine watakusaidia hao polisi.
Huyo mpelelezi uchwara.
Kama yupo serious na kazi yake angeweza kabisa kumpta huyo jamaa coz polisi kama insitution. Wanaweza kwenda kampuni ya simu ya upata taarifa za kina za mtumiaji wa skiu. Namba hiyo!
Ushauri:
Mueleze wazi kuwa unafahamu possiblity ya wao ku-access data hizi kamouni za simu na onesha nia ya kwenda mbele zaidi, hiyo kitu inawezekana kabisa mkuu!
ukiwa unafanya inshu za uchunguzi usiweke kwenye public utakaa unang'aang'aa sharubu hautaipata hiyo laptop, nimeichukua mimi nitafute kama utaniona. Nitarudi baadae kidogo
Kama una namba ya simu lakini humjui jina lake, wewe mtumie hata buku kwenye hiyo namba yake, itakuletea jina alilojisajiri tigo pesa, hapo utakuwa umelipata jina lake, mengine watakusaidia hao polisi.
Kwani wewe unataka details gani zinazomhusu huyo mwizi wako mkuu??
utajibeba lo! Nitarudi baadae
we utakua mwanamke
Angalizo:
sitafuti mke wala galfriend, i can buy one @jolly if i need
Mkuu umeiona hii sura ni ya kike kweli? Nitarudi baadae kidogo
assuming huyo mwizi hayupo JF na kama yupo hajaona na kuupitia huu uzi.
kaka wewe acha. Kupangiwa mpelelezi imechukua siku 2. Mpelelezi mwenyewe leo kajipa off na anadai mpaka kwenda Tigo lazima jarada lipite kinondoni inaweza kuchukua mwezi au zaidi. Bila laptop nashndwa kusoma na kufanya projects zangu za programming and i'm not having enough money to buy a new one so soon. Guys kama unamfahamu m2 pale Tigo that can help pls nisaidieni
Wanajf,
nimeibiwa laptop yangu juzi usiku. Taarifa iko police ila wanashughulikia taratibu wakati kila kitu kiko wazi mpaka namba ya simu ya mwizi ambapo anataka nimtumie laki 5 ktk tigo pesa then anirudishie laptop anomously.
nahitaji kupata details za huyu bwana, mpelelezi wangu wa police anadai itachukua mwezi
kama kuna mwanajf yuko pale Tigo makao makuu au anamfahamu mtu pale au anaweza kunisaidia kupata taarifa hizo naomba msaada wako tafadhali