Msaada nimeibiwa blackberry yangu...how to trace it

Msaada nimeibiwa blackberry yangu...how to trace it

sikiolakufa

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
411
Reaction score
55
Wakuu nimeibiwa blackberry yangu bold 9780....bahati mbaya mwizi ameswitch of GPS...nimejaribu kutumia blackberry protect website kuitrack inagoma kwa kuwa gps iko off....je kuna namna nyingine naweza kujua location Msaada please ...simu hiyo ina data nyingi sana pia imeunganishwa na mtandao wa benki
 
nasikia kama umeshawai tumia huduma ya bbm kuna id flani sjui mnapewa ambayo ni perment uk trace hiyo id unapata sasa sija jua unatrace wapi kwa web yao au kwa watoa huduma like voda na tigo.sina uhakika ila issue kama hii isha mtokea jamaa yangu alinunua simu ya uwizi bada ya miezi miwili akakamatwa kumbe walikuwa wana ona id ikiwa inafanya kazi pindi alipo kuwa aki ingia net.jaribu kufatlia unaweza elewa nacho manisha ,mi sijawai tumia blackberry kwa hiyo nashindwa ongelea vizuri bila hata ya gps wanweza track hiyo sijui ndio pin sijui ni id sikumbuki inaitwaje na ukaipata aki ingia tu net unamkamata.kesho niombe uzima ntaenda ulizia vizuri ntakuja kuambia
 
Kama unahitaji kuipata fuata utaratibu wa huu
1.Karipoti Police
2.Police watakuelekeza barua kwenda kwenye Kampuni la simu mtandao uliokuwa unatumia.
3.Uchunguzi utafanywa: a) Kampuni yako ya simu wanaouwezo wa kutrack hiyo simu
b) Hatakama kabadili laini ya simu inawezekana kutrack(IMEI-haijalishi kama umebadili laini

4)Ni rahisi sana kumkamata mtu yeyote aliekuibia simu au alienunua simu iliyoibiwa kwa sasa,ukiwa serious unampata mapema sana
 
Ulikuwa unatumia mtandao gani kwenye simu hiyo mkuu.
 
nilikuwa natumia tigo...blackberry id yangu ninayo ila nikiingia blackberry protect website nikijaribu kuwipe device inakataa maana device haiko connected na wifi....ila polisi nilienda wanataka mkwanja kuniandikia loss report....
 
nilikuwa natumia tigo...blackberry id yangu ninayo ila nikiingia blackberry protect website nikijaribu kuwipe device inakataa maana device haiko connected na wifi....ila polisi nilienda wanataka mkwanja kuniandikia loss report....

Police kuandika loss report ni Tsh 500 ila kama unataka ya faster andaa 5000 au 10000 kabisa no usumbufu wala nini mi nilipoteza road licence na. Insurance cave nikampa anayeandikisha buku mbili 2 tena ni cental pale posta
 
Wasiliana pia na RIM NOC pia watajie PIN number yako uliyokuwa unaitumia...
 
Kama umefanya wipe basi simu yako itakuwa wiped next time ikiwa connected na net, hakuna la ziada. Kampuni za simu huwa hazifanyi kazi ya kutrack na kurecover simu, usitegemee hilo. RIM hawatakusaidia na lolote.
 
Back
Top Bottom