contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
Unawezaje kuishi na mume pale unapogundua kumbe baba yake mzazi ni mchawi anayedhuru watu hakika, nawe ulifichwa kila kitu.
Naomba msaada kwa hili
Naomba msaada kwa hili
Huu mwanzo mzuri kama atajibuNaomba nianze na swali ........umegunduaje?
Acha kusingia watuUnawezaje kuishi na mume pale unapogundua kumbe baba yake mzazi ni mchawi anayedhuru watu hakika, nawe ulifichwa kila kitu.
Naomba msaada kwa hili
Na kweli maana jiulize utajuaje huyu mtu ni mchawi?Usikute kambiwa na mganga
Ahahahah itakuwa mimi nami ni mchawi.Na kweli maana jiulize utajuaje huyu mtu ni mchawi?
Siri, kuwa makini sana na siri, ukificha maradhi lazima utakufa nayo, aibu haidumu, kwanini tuliambiwa tusiabudu miungu mingine kama uchawi haupo? Wao wapo jukumu letu kutowaamini nguvu zao na hapo ndipo hawawezi kutudhuru, uwepo wao upo.Hauwezi kuishi kwa kutoa siri za Mkwe wako tena kwa kumsingizia kwa sababu hakuna proof ya Uchawi.
Nimeelezwa na wenyewe baada ya baadhi ya mambo kutokea, series ya mambo kwa hakika, nikisema wenyewe namaanisha baadhi ya memba wa familia, ilitokea jambo katika kulitatua kwao wakataka kujimlisha mimi, katika kushangaa ndio nikatolewa upofu.Naomba nianze na swali ........umegunduaje?
Nina Mungu kwa hakika ananilinda, ananiongoza na ndiye aliyenisaidia mpk kujua haya, sitamuacha hakika, lakini pia kustajaabu haya pia kama mwanadamu sikatazwi, haswa kwakuwa mimi ni mwanadamu.Rudi kwa Mungu wako haraka sana!!
Mbele yake hakuna uchawi hata nguvu zozote za giza zitashindaa!!
Hakika ninaweza kuwa lakini haibadilishi nililolijua.Anaitwa contagious naye contagious of uchawu