msaada: nimechoka kutumia airtel modem kama card reader

maege

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
309
73
jamani naombeni msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya kuchakachua (itumie line zaidi ya moja) modem ya airtel coz gharama zao za net zimepanda sana.
 
taja ni aina gani, model number na imei number tuone kama utaweza kusaidiwa ukiwa hukohuko
 
Back
Top Bottom