Sio kuzichezea, kuna mengi ya kuangalia kama mshahara mdogo, mazingira sio rafiki na pia la msingi sana Kujikuza kitaaluma, kama kafanya kazi mwaka mmoja kama Assistant nina imani kabisa dhumuni lake yeye la kuwa Accountant kamili ni kuwa kazi ya U accauntant anaiweza so haoni haja ya kujihold back wakati anaweza fanya mambo makubwa ambayo yatamsogeza mbeleMm nahisi tatizo la mtoa mada ni hicho cheo cha Assistant hakitaki anataka awe Accountant kaazi kweli kweli wenzake wanatafuta hizo kazi hawazipati wengine wanazichezea hatare kabisa