Msaada: Nimeajiriwa Kama Assistant Accountant

Msaada: Nimeajiriwa Kama Assistant Accountant

Inawezekana shida ya ukosefu wa amani inatokana na wewe kuwa na tatizo la kisaikolojia na hata ukihamia sehemu nyigine utaendelea kujisikia hivyo hivyo kuhusu ukosefu wa amani. Nitaku inbox namna ya kukusaidia ili uweze kufanya kazi zako kwa ufasaha.
Mm nahisi tatizo la mtoa mada ni hicho cheo cha Assistant hakitaki anataka awe Accountant kaazi kweli kweli wenzake wanatafuta hizo kazi hawazipati wengine wanazichezea hatare kabisa
 
Hisia zangu zina niambia una kitu kitwa "Home sick" Maybe umepata kazi mbali na maeneo uliyo kwisha kuya zoea... Maybe umepata kazi kwenye kaji mji ambako hakaja endelea na hauoni fursa yoyote.....

Kama sio hivyo basi nahisi upo peke yako peke yako...maybe uko lonely au una depression..

Ila bana kikubwa.... Kazi ni ile inayo kupa furaha hata kama unafanya bure.... Cha kwanza Passion cha pili commitment.. Hivi vitu usipo kua navyo trust me hio kazi muda si mrefu uta iacha.
Nipo mjini mkuu,,, ila nimeipenda hii point yako Ila bana kikubwa.... Kazi ni ile inayo kupa furaha hata kama unafanya bure.
 
PRIDE ndio tatizo lako....kwakuwa una digrii unadhani unastahili nafasi inayofuata na si hiyo uliyopewa, nadhani kuwa na digrii ya Bcom/accounts haikufanyi kuwa accountant.....
 
PRIDE ndio tatizo lako....kwakuwa una digrii unadhani unastahili nafasi inayofuata na si hiyo uliyopewa, nadhani kuwa na digrii ya Bcom/accounts haikufanyi kuwa accountant.....
Sina maana hyo umenielewa vibaya
 
Yeah! Bila hivyo utendaji kazi utakua ni shida.... Tuvitu tudogo tudogo kazini tuta kupa hasira... Kuna time utaacha hata kuongea na co_workers unakua kivyako vyako...

Mawazo hayo ya hio kazi...

Mtaani huku niku gumu sana... Asi kwambie mtu!

Nili wai kuacha kazi nisiyo ipenda... Haikuni sumbua sana kiakili... Ila kuna kamsoto flani nili kapata Dah! Nili kula hela yote ika isha... Dadeki..

USHAURI : Weka malengo mapema kwenye hio kazi, ili siku una aamua kuiacha uwe walau umeyafikia.

Kama niku soma hio CPA do it now... Hakuna muda mwingine. Kama niku save kiasi flani cha pesa do it now... Hakuna time nyingine...
 
asante kwa ushauri wako
 
Dah kuna watu mnapenda Sana kukufuru mungu.acha kazi
 
Huyu alitegemea akienda digirii yake yeye awe bosi kumbe hizo ni ndoto za shule
 
Back
Top Bottom