Msaada: Nimeajiriwa Kama Assistant Accountant

Msaada: Nimeajiriwa Kama Assistant Accountant

Dringia

Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
72
Reaction score
62
Habari zenu wanajamii Forum..

Mimi nimeajiriwa na kampuni moja ya private (manufacturing) kama ASSISTANT ACCOUNTANT na kwa sasa nina muda wa kama mwaka mmoja na miezi kadhaa hivi, Ila sina aman na hapa ninapofanyia kazi, sio kwamba wananinyanyasa la hasha lakini binafsi moyo wangu hauna aman ya kufanya kazi mahali hapa,..

Nlikua naomba kama kuna campuni au shirika au sehemu yeyote yenye nafasi ambapo naeza kufanya kazi kama ACCOUNTANT please wasialiana nami pm! Kuhusu elimu Nina degree (Bcom Accounting) na ninajiandaa kuchua masomo ya cpa! naomba anaeweza kunisaidia. Ninaweza kutumia accounting Packages kama SAP ERP, Votebook, Sage 300 na Tally Erp 9

Thanks in Advance
 
Habari zenu wanajamii Forum..

Mimi nimeajiriwa na kampuni moja ya private (manufacturing) kama ASSISTANT ACCOUNTANT na kwa sasa nina muda wa kama mwaka mmoja na miezi kadhaa hivi, Ila sina aman na hapa ninapofanyia kazi, sio kwamba wananinyanyasa la hasha lakini binafsi moyo wangu hauna aman ya kufanya kazi mahali hapa,..

Nlikua naomba kama kuna campuni au shirika au sehemu yeyote yenye nafasi ambapo naeza kufanya kazi kama ACCOUNTANT please wasialiana nami pm! Kuhusu elimu Nina degree (Bcom Accounting) na ninajiandaa kuchua masomo ya cpa! naomba anaeweza kunisaidia. Ninaweza kutumia accounting Packages kama ERP, Votebook, Sage 300 na Tally Erp 9

Thanks in Advance

Kuna mchongo wa kazi NHIF nikuunganishe? Mshahara mnono sana kama uko tayari nikumegee pande
 
Hakuna tatizo mkuu imetokea tu sijisikii furaha ile nnayotaka kwa kuendelea kuwa hapa
Hisia zangu zina niambia una kitu kitwa "Home sick" Maybe umepata kazi mbali na maeneo uliyo kwisha kuya zoea... Maybe umepata kazi kwenye kaji mji ambako hakaja endelea na hauoni fursa yoyote.....

Kama sio hivyo basi nahisi upo peke yako peke yako...maybe uko lonely au una depression..

Ila bana kikubwa.... Kazi ni ile inayo kupa furaha hata kama unafanya bure.... Cha kwanza Passion cha pili commitment.. Hivi vitu usipo kua navyo trust me hio kazi muda si mrefu uta iacha.
 
Back
Top Bottom