Said Mshana
Senior Member
- Jul 10, 2016
- 104
- 151
Msaada please simu yangu nikiweka memory card 16GB inaandika Damaged SD card. Naombeni msaada wenu please tatizo liko wapi au nawezaje kutatua tatizo hili.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu.