mkuu tatizo betri.. badilisha betri utaonaaWakuu nina tatizo kwa simu yangu
Simu yangu ni ya LG G3 tatizo linakuja kuwa nikiwasha data nikiingia internet tu inajizima na kujiwasha yenyewe sasa nashindwa kujua tatizo ninini?
Maana yake ni kuwa nashindwa kutumia hata watssap au mtandao wowote nikiwasha tu data za internet on inajizima saa hiyo hiyo na kujiwasha
Nisaidieni nifanyeje wakuu
Inanisumbua sana kuna. wakat battery inasoma ipo 70% hapo hapo mara inaandka battery low Baada Ya muda tena inaandka ipo 4%
Nikiwasha data ndo inajizima nikiweka airplane mode haizimi
Sasa hivi nikiwasha data ni mpk niwe nimeiweka kwenye chaji yaan niitumie huku inaingiza bila hivyo inajizima
Msaada please wakuu
Shukran mkuuPole saana kakta cm za galaxy bas Not4 walichapia ktk chaj
Yaani hizo cm hazikai kabxaa na chaj
Sasa ili iwe na afadhali ya chaj kukaa kiasi punguza brighteness ya display hlf mara kwa mara zisimamishe running applications zisizolua na faida kwako
Bttry nenda kariakoo bei nadhani itakua elf30
Vizuri zaidi ununue na power bank
Kwa akiba kwajili ya safari
Solution yakudumu ni kuweka kipande cha shaba na thermal pasteHuu ugonjwa ni LG G3 nyingi zinashida hiiiii. Yangu iliwahi kuwa na wenge la kuji restart n inaishia kwenye Logo hadi ikikaa sana itaenda mbele na kuwaka......
Ilivyowaka sasa Wifi imejiwash ukiturn off haikubal, bluetooth wenge ikawa mtihani tu , mara mnara na netwrk izingue restart inaanza upya.
Nikaambiwa solution ya kudumu ni kubadili motherbrd kinyyme na hapo itakuwa tatizo linarudi tu.
Till nikasema hiii simu haito zingua tena maana inanchosha. Now ipo good tu
Carpe diem.....[emoji187]
Shukrani sana.Solution yakudumu ni kuweka kipande cha shaba na thermal paste
Ndiyo simu yangu ya Kwanza LG G3 ilikuwa ina hizo issue za bootloop na flickerShukrani sana.
Umewahi kutana na ishu kama hiii
Carpe diem.....
Ndiyo nilikuwa na LG G3 ilikuwa na mtindo kama kama wake(bootloop+flicker/shade)Shukrani sana.
Umewahi kutana na ishu kama hiii
Carpe diem.....[emoji187]
Mpelekeee mkulu MAGU hiyo simu akaipatanishee ina ugomvi na system chargeWakuu nina tatizo kwa simu yangu
Simu yangu ni ya LG G3 tatizo linakuja kuwa nikiwasha data nikiingia internet tu inajizima na kujiwasha yenyewe sasa nashindwa kujua tatizo ninini?
Maana yake ni kuwa nashindwa kutumia hata watssap au mtandao wowote nikiwasha tu data za internet on inajizima saa hiyo hiyo na kujiwasha
Nisaidieni nifanyeje wakuu
Inanisumbua sana kuna. wakat battery inasoma ipo 70% hapo hapo mara inaandka battery low Baada Ya muda tena inaandka ipo 4%
Nikiwasha data ndo inajizima nikiweka airplane mode haizimi
Sasa hivi nikiwasha data ni mpk niwe nimeiweka kwenye chaji yaan niitumie huku inaingiza bila hivyo inajizima
Msaada please wakuu
Huu ugonjwa ni LG G3 nyingi zinashida hiiiii. Yangu iliwahi kuwa na wenge la kuji restart n inaishia kwenye Logo hadi ikikaa sana itaenda mbele na kuwaka......
Ilivyowaka sasa Wifi imejiwash ukiturn off haikubal, bluetooth wenge ikawa mtihani tu , mara mnara na netwrk izingue restart inaanza upya.
Nikaambiwa solution ya kudumu ni kubadili motherbrd kinyyme na hapo itakuwa tatizo linarudi tu.
Till nikasema hiii simu haito zingua tena maana inanchosha. Now ipo good tu
Carpe diem.....[emoji187]
Ndio nini mkuu?Solution yakudumu ni kuweka kipande cha shaba na thermal paste
Ah kumbeNdiyo simu yangu ya Kwanza LG G3 ilikuwa ina hizo issue za bootloop na flicker
Ndiyo nilikuwa na LG G3 ilikuwa na mtindo kama kama wake(bootloop+flicker/shade)
Forums kama xda na nyińgine solution waliyotoa ni kubadilisha betri nikafanya hivyo Ila tatizo halikuondoka.
Kuna jamaa alisema ni hardware issue ufumbuzi kuweka karatasi ya aluminium ili soc isipate joto sana.
So mimi nimekata kipande cha shaba kutoka kwenye cooling fan ya laptop then nikaifungua simu na kuweka hicho kipande kwenye Soc na kuapply thermal paste tatizo kwisha.
Namesharekebisha simu 3 sasa zote zinapiga mzigo
Shukrani mkuuu.Ndiyo simu yangu ya Kwanza LG G3 ilikuwa ina hizo issue za bootloop na flicker
Ndiyo nilikuwa na LG G3 ilikuwa na mtindo kama kama wake(bootloop+flicker/shade)
Forums kama xda na nyińgine solution waliyotoa ni kubadilisha betri nikafanya hivyo Ila tatizo halikuondoka.
Kuna jamaa alisema ni hardware issue ufumbuzi kuweka karatasi ya aluminium ili soc isipate joto sana.
So mimi nimekata kipande cha shaba kutoka kwenye cooling fan ya laptop then nikaifungua simu na kuweka hicho kipande kwenye Soc na kuapply thermal paste tatizo kwisha.
Namesharekebisha simu 3 sasa zote zinapiga mzigo
Na vipi kuhusu bluetooth wifi service zingine za wireless connection kuzingua ???Ndiyo simu yangu ya Kwanza LG G3 ilikuwa ina hizo issue za bootloop na flicker
Ndiyo nilikuwa na LG G3 ilikuwa na mtindo kama kama wake(bootloop+flicker/shade)
Forums kama xda na nyińgine solution waliyotoa ni kubadilisha betri nikafanya hivyo Ila tatizo halikuondoka.
Kuna jamaa alisema ni hardware issue ufumbuzi kuweka karatasi ya aluminium ili soc isipate joto sana.
So mimi nimekata kipande cha shaba kutoka kwenye cooling fan ya laptop then nikaifungua simu na kuweka hicho kipande kwenye Soc na kuapply thermal paste tatizo kwisha.
Namesharekebisha simu 3 sasa zote zinapiga mzigo
Ndio ndugu.[emoji15]sim za LG bado zinatumika[emoji15]
Ndio ndugu.
LG zipo bomba sana...mbona zingine very latest na zinakimbiza sokoni.
Fatilia kidgo kuhusu Lg G6.....imetangazwa mwakahuuu feb bado sijaiona kitaaa ila nahisi itakuwa tayari ipo.
LG G6 - Full phone specifications
Carpe diem.....[emoji187]
Kila mtu na anqcho penda.Upo sawa kabisa mkuu...lkn ukiwa na LG ni sawa na kua na akaunt ya benk NBC,,nikimaabisha kua wewe utaendea tu kupiga foleni
Chako mwenyewe lkn kinakutesa.
Lg imepigwa mande ktk DEVICES android na IOS
Nadhani utakua umenielewa mkuu
Tumia hiyo njia niliyokupa then lete mrejesho.Na vipi kuhusu bluetooth wifi service zingine za wireless connection kuzingua ???
Unaweza washa bluetooth mzgo hausomi au inakubali kuwaka au inasema unfortunately bluetooth imestop working etc
Shida ina tatuliwaje mbaba
Carpe diem.....[emoji187]
well said nimebadili betrBack to topic, kama simu ikiwa katika chaji na haizimi hata ukiwasha data, ila ukiwasha data huku ikiwa haipo katika chaji, basi hapo naconclide kwa kusema 99% tatizo litakuwa ni betri ndo tatizo. Kwani hizo abrupt changes za mara battery ioneshe 70% mara low batery mara 4% ni dalili za battery kuchoka. Tafuta replacement ya hiyo battery.
Kariakoo huwez kosaWakuu na mm simu yangu ni samsung galaxy note 4 naulizia walau betry yenye unafuu nitapata wapi kwa hapa dsm na gharama zake manake tatizo lake kama hilo.