Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
it show white color before turning offJe hiyo simu inaganda(freeze) kabla ya kujizima?
hapana
Kama ukiiweka kwenye chaji haizimi, betri ndio inashidaWakuu nina tatizo kwa simu yangu
Simu yangu ni ya LG G3 tatizo linakuja kuwa nikiwasha data nikiingia internet tu inajizima na kujiwasha yenyewe sasa nashindwa kujua tatizo ninini?
Maana yake ni kuwa nashindwa kutumia hata watssap au mtandao wowote nikiwasha tu data za internet on inajizima saa hiyo hiyo na kujiwasha
Nisaidieni nifanyeje wakuu
Inanisumbua sana kuna. wakat battery inasoma ipo 70% hapo hapo mara inaandka battery low Baada Ya muda tena inaandka ipo 4%
Nikiwasha data ndo inajizima nikiweka airplane mode haizimi
Sasa hivi nikiwasha data ni mpk niwe nimeiweka kwenye chaji yaan niitumie huku inaingiza bila hivyo inajizima
Msaada please wakuu
Back to topic, kama simu ikiwa katika chaji na haizimi hata ukiwasha data, ila ukiwasha data huku ikiwa haipo katika chaji, basi hapo naconclide kwa kusema 99% tatizo litakuwa ni betri ndo tatizo. Kwani hizo abrupt changes za mara battery ioneshe 70% mara low batery mara 4% ni dalili za battery kuchoka. Tafuta replacement ya hiyo battery.
Wakuu na mm simu yangu ni samsung galaxy note 4 naulizia walau betry yenye unafuu nitapata wapi kwa hapa dsm na gharama zake manake tatizo lake kama hilo.