shabaan Dogo
Senior Member
- Apr 27, 2014
- 196
- 82
Kitaa hapasomeki mkuu, hizo zitakuwa stress.Naombeni msaada ndugu zangu na sio masihara nikiwa na mwanamke uume hausimami kabisa unasinyaa na kubakia kichwa tu imenitokea hiyo hali mara mbili naombeni msaada na uume unapo simama haukazi sawa sawa unalegalega.
Naombeni msaada ndugu zangu na sio masihara nikiwa na mwanamke uume hausimami kabisa unasinyaa na kubakia kichwa tu imenitokea hiyo hali mara mbili naombeni msaada na uume unapo simama haukazi sawa sawa unalegalega.
Bia Tamuahana na mademu kunywa bia.
Uache PunyetoNaombeni msaada ndugu zangu na sio masihara nikiwa na mwanamke uume hausimami kabisa unasinyaa na kubakia kichwa tu imenitokea hiyo hali mara mbili naombeni msaada na uume unapo simama haukazi sawa sawa unalegalega.
ukweli mapigo ya moyo yanakua juu sana na hata ninapo jitahidi kurilax nakua kama najifanyishaJichunguze unapokuwa katika hilo eneo mapigo yako ya moyo huwa yanadunda kwa Kasi sana..? Kama yanaongezeka kwa Kasi sana jua unahofu! Mcheki mwanasaikolojia.
Hilo ndo tatizo unahofu Sana Kama na kujichua unafanya acha mara moja inakufanya unakua unahofu siku unapokutana na real..ukweli mapigo ya moyo yanakua juu sana na hata ninapo jitahidi kurilax nakua kama najifanyisha
Hofu ya kutojiaminiNaombeni msaada ndugu zangu na sio masihara nikiwa na mwanamke uume hausimami kabisa unasinyaa na kubakia kichwa tu imenitokea hiyo hali mara mbili naombeni msaada na uume unapo simama haukazi sawa sawa unalegalega.
umri 34 yrsLete taarifa. Muhimu
Umri wako,
Uzito wako
Unafanya kazi gani
Mahusiano yako ya zaman na mliachana achana vipi
Je umeshawahi kupiga masta kiasi gani
Taarifa hizi zitasaidia kukupa ushauri
Shida hapo ni msongo wa mawazo tuumri 34 yrs
kl 67
kazi biashara
ni kama miezi mitatu au minne ndo tumetengena na mpnz wangu tulitaka kuowana lkn familia yake haikunikubali mimi,
ukweli iliniuma sana na hadi sasa nikimkumbuka naumia sana kweni wali mtafutia mtu na karibia anaolewa ,
kujichua hapana zamani sana kipindi cha balehe,
sijawa na mwanamke pamanent hali hiyo imenikuta tu ni wana wake tu kitaani