msaada: nikitaka kuformat memory card inaniambia "It is write protected" nifanyeje?

msaada: nikitaka kuformat memory card inaniambia "It is write protected" nifanyeje?

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,289
Naombeni msaada wanajf kwenye hili tatizo langu la hii memory card nnayotaka kuiformat kwenye PC
tatizo lake hadi nataka kuiformat ni kwamba ina data lakini hazionekani ukiifungua unakuta empty lakini ina 1GB of data na kwa nje inaonyesha kabisa kuwa inazo!
:help:
 
Itupe halafu kanunue nyingine

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kuna flash amabazo ubavuni zina vitufe vya kulock na ku-unlock,so kama haiko locked ni virus wamebana folder zima,kama ndivyo na huna untivirus strong unaweza kufungua flash kwa kufuata Command Propmt au ukaifungulia kwenye OS ya UBUNTU ukatapisha data zako kisha ukaformat!
 
Mwanang alchosema horseshoe ni sawa kabsa!virus ndo wameitawala hyo memory card!kama vp katafte antivirus ambayo ni strong itakusaidia kama smaRT-Protection,smadav 2012-try dat one!!
 
Back
Top Bottom