Msaada: Niifanyeje hii NOKIA N70? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Niifanyeje hii NOKIA N70?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tindikalikali, Nov 21, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wadau hiki kimeo changu nikikiwasha, kinachukua mpaka dakika 5 kuanza kuoperate. Tatizo linaweza kuwa nini na nifanyeje ili irud ktk hali ya kawaida.?
   
 2. damper

  damper JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Kama ina memory card itoe na jaribu kuwasha, kama itawaka ndani ya muda mfupi tatizo litakuwa kwenye hiyo memory card. Na iwapo tatizo la kuchelewa litaendelea ifanyie Factory Reset hiyo simu yako. Na vile vile usipende kutunza msg nyingi kwenye inbox kwa muda mrefu.
   
 3. v

  valid statement JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  hilo ni tatizo la kawaida la N70 na pacha wake N72 ktk kuchelewa kuwaka.
  Lakini kama inachukua hadi dk 5.
  Hiyo ni ya kureset to factory settings. Na uache application chache unazozitumia tu.
  Pia unaweza uka download netqin antvirus ili kuiprotect na viruses.
   
 4. hamex

  hamex Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ina virus hiyo wapelekee jamaa wa nokia wakaiflash kama bado unaipende au kama vipi nunuaq ipad
   
 5. King2

  King2 JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Utakuwa umejaza ma applications kwenye phone memory hebu jaribu ku delete ma files uliyodownload.
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu ngoja nikuulize kizenji, hivi zipo ipad used? Sisi Zenji tushajizoelea kila kitu used mpaka kucheka kiused used tehe tehe tehe tehe tehe.
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Asante wakuu, ntajaribu kufanya mliyoniambia.
   
 8. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  wakuu, na mimi nina ka kimeo kama hako ka kwako na nahitaji kukaunganisha niwe napokea email bila kuingia yahoo kwanza, ni fanyeje?
   
 9. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Bonyeza *#7370#lakini uchomoe memory card coz itafuta kila kitu ila itamaliza hilo tatizo!!
   
Loading...