Msaada: Nifanyeje nisionekane online wakati natumia whatsapp?

Msaada: Nifanyeje nisionekane online wakati natumia whatsapp?

Kingsix

Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
81
Reaction score
54
Naomba kujuzwa(kufahamixhw) kuwa naweza kutumia WhatsApp my friend zangu wasijue kuwa nko online

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
inawezekana but na ww hutoweza kuona marafiki zako iwapo wapo online
 
Bofya'setting',,,,,itakuja orodha ya maneno bofya neno 'account',,,,,,,,,,itakuja orodha nyingine ya maneno,bofya neno 'privacy',,,,,,,itakuja tena orodha,bofya 'last seen',,,,,,,,then utabofya sehemu iliyoandikwa'No body.Umemaliza.
 
Kama unatumia official whatsapp Inawezena kabisa nenda kwenye setting >>account>>privacy>>last seen chagua hapo ila kumbuka na wewe hutawaona

Ila Kama unataka makubwa zaidi ya hayo kama
>>kuangalia status za wenzio bila kuonekana kama umeview
>> kuwa online muda wote hata kama simu umeuza
>>kusoma message za mtu bila yeye kupata tiki mbili anapata tiki moja tu
>>kutuma mafile makubwa mpk 50mb
>>kuseti upo offline wakati upo online unakula tu goodtime bila distubance
Na mengine mengi
tafuta gbwhatsapp
 

Attachments

  • Screenshot_2017-06-22-00-03-42.png
    Screenshot_2017-06-22-00-03-42.png
    129 KB · Views: 355
Hivi ni kwanini eti mtu hataki aonekane kwenye last seen au online? Kwa WhatsApp
 
tumia hizi gb whatsapp,fm whatsapp au whatsapp+
ukitumia ya kawaida uta hide tu last seen yako ila ukiwa online utaonekana
You are right...
Nashangaa hao wanao sema official whatsapp ina option ya kukufanya usionekane upo online.

Hans Pol
 
You are right...
Nashangaa hao wanao sema official whatsapp ina option ya kukufanya usionekane upo online.

Hans Pol
Alf mkuu nmepitia thread zako unaonekan upo vzuri kwenye mambo ya teknolojia
 
Back
Top Bottom