Nina uhusiano wa kimapenzi na wasichana Wawili na kunamwingine bado namfuatilia lakini natamani niache ujinga huo ukizingatia nina mke na watoto, ila nimeshindwa.
Huwa naamua kuwa kuanzia sasa basi sitaki tena, baadae nikikutana na mmoja wao naanza yale yale au wakati mwingine akinipigia simu mmoja wao najikuta nimeingilika.
Nisaidieni niachane na uchafu huo maana nimeufanya sana ila sijaona faida yake tena kuna mmoja yeye anataka aliwe ndio nazidi kuchanganyikiwa na hana shida kivile na hela yangu. Msaada waungwana.