Msaada: Nifanyeje chooni kwangu kuna nyoka

Huyo mi naona ni jongoo maana nyoka kwanza hana ukubwa wa makerpen inaonesha jinsi gani hutambui nyoka na jongoo.
 
Unaogopa kuwa na ta,ko kipande baada ya kung'atwa.
 
'jamani msiwe mnakurupuka tu na kuanza kujibu muwe angalau mnaangalia na jina la mleta mada we unamwita kaka wakati jina lake linajieleza ndugu...'

Unadhani ID za watu humu ndani zitakwambia jinsi ya mtu? Open your eyes boy! JF ni ni zaidi ya uijuavyo.
 
Hebu watu waache woga. Mwenzenu kadondosha markerpen karibu na tundu la choo,alipoamka ndotoni saa 10 za usiku akadhani ni nyoka. Thats all
 

Unamaanisha nilizokuwa nakupa hazitoshi!???????????????? hayaweee..nenda mama saccoss yangu ina members wengi waaminifu!!!
 
usihofu,we endelea tu kutumia choo chako,toka kuumbwa kwa dunia nyoka hajawahi kumng,ata binadamu ma-tackle,ndivyo nyoka alivyoumbwa...anaogopa ma-tackle,nashangaa binadamu wengine wanayapenda na "kuyatumia"!
 
Hata mimi najua mafuta ya taa, fanya kamaalivyokushauri mapolomoko

maji ya moto si chochote mwaga mafuta ya taa au dizeli kiac cha lita moja kinatosha mwaga nusulita maraoja kisha nusu nyingine mwaga taratibu yakimfikia atakatika katika yasipo mfikia atatoka usimuogope hawezi kutembea ktk sinki au vigae anateleza
 

Wala usipate shida mafuta ya taa yanafaa lakini kama unataka kukomesha kabisa kanunue Petrol mwagia sehemu husika utakuwa umekomesha kama itamgusa ataumuka na atakufa.Pia harufu ya petrol au mafuta ya taa itamkimbiza kabisa.
 
dawa rahisi ni aidha kumwaga mafuta ya taa ndani ya tundu na kuzunguka choo ndani na nje lakini ni vyema zaidi ukatumia oil nzitu iliyotumika kwenye magara [jaribu kuulizia gereji iliyo karibu nawe. uzuri wa oil ni kwamba inapunguza hata harufu ya tunduni.
 
Ungemuua tu mkuu lakini kwakuwa ilishatokea basi hauna jinsi cha msingi fanya uchemshe maji ya moto uflash tena then utakuwa huru na starehe zako huko chooni.
Una uhakika kuwa huyu ni mkuu?
 

We huyo sio jongoo kweli umemwona wewe, manake wale huwa wana tabia ya kuingia kwenye chemba na kupanda ndani esp usiku.
 
Unamaanisha nilizokuwa nakupa hazitoshi!???????????????? hayaweee..nenda mama saccoss yangu ina members wengi waaminifu!!!

Umewekaa kwamba unatafuta member mwingine kwenye saccos yako....ndio maana nimekushauri kwamba huyo utakaempata mpe hela ili adumu kwenye saccos yako
 
Hapa naona dalili za ujangili.......am watching.......
 
Mi nlimkuta wa kijani kabatini kufungua tu kabati nyoka huyu nikalifunga nikaondoka kabisaa badae nkarudi na mikakati ya kufight... Nadhani aliingia na nguo loh pole.
 
Umewekaa kwamba unatafuta member mwingine kwenye saccos yako....ndio maana nimekushauri kwamba huyo utakaempata mpe hela ili adumu kwenye saccos yako

Ngoja nizitumie mbinu zako kukuleta wewe kwanza!
 

Kawaone watu wanao husika na wanyama pori. Usithubutu kuua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…