Msaada: Nifanyaje nimfikishe kileleni?

Hivi vitu vyote ni bora ahamie msituni
 
Mapenzi ni hisia mwanamke anayekupenda sana mara nyingi huwa anahisia nawe za kiwango cha juu,insu ya kufika kileleni kwake huwa ni mda mfupi.
 
 
I salute you. Your woman is luck to have you.
 
Naombeni msaada jinsi ya kumfanya mwanamke afike kileleni maana kila siku analalamika simfikishi kunako.
Pole sana mkuu KUNDULE!! BiLa shaka unaishi mjini Daslam mkuu!! Chips ni Nouma sana achana nazo kula mihogo, ugali wa dona, mtama, ulezi uone mziki wake. Pia kumbuka kupiga tizi la kiana mkuu utakuwa unamfikisha pale penyewe!
 
Sikia sasa...
Kula vzur halafu nenda kapge supu ya pweza na nyama zake...

Halafu tafuta karangabna muhogo ndan ya week nzma ..

Halaf dakika chache kabla ya tendo kunywa kiroba original.
Lazma ajambe hyo sku kwa huo mziki
 
Kula sana ndizi pia piga sana mazoezi ya kutosha
 
Hakuna formula mkuu..kikubwa ni kumuandaa,kujua namna ya wewe kuzuia usikojoe haraka..hii ni taaluma ambayo wanaume wengi inawashinda.Ukiweza kujizuia na kwenda nae mdomdogo atafika.Lkini funguo ya kufika huko anayo yeye mwenyewe,akuambie wapi ukimkamatia vizuri unamfikisha.Muwe wawazi kwa kila mmoja..
 
Jiamini mkuu yote yanawezekana,jambo la msingi jitahidi sana kumuandaa mwenzako usimparamie kama kuku na kama unajihusisha na must-erbation* acha kabisa huo mchezo mchafu.
Pia asikubali kuchezewa sn maana hii inaharakisha yy kufika milele na kumuacha mwenzake njiani,kinyume chake yy ndo amchezee sana mlengwa,kuhusu mazoezi siyo kila zoezi linafaa hapo,yapo aina ya mazoezi hasa yanayohusu misuli ya mgongo
 
Pita shortcurt.
Mpe romans,shika sehemu zake kwa nusu saa,akilegea kabisa ndo uingize dushe
 
Fanya mazoezi ndugu utaenda mpk dk40 kwa goal moja kimbia then achana na Sembe mafuta na chips
 
Kama ni kilele mlete moshi pale marangu, kuanzia pale mpaka kileleni ni siku tatu tu ushakamata kilele cha mlima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…