Msaada: Nifanyaje kuhusu matatizo haya ya gari?

Kipind anafanya hivyo anaweza kuweka radiator flush nzuri kama za liquimoly kwa ajil ya kusafisha rejeta yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu suala la ile engine,hii gari toyota porte ilikuwa na engine cc 1490 , sasa tumeamua kubadili, niweke engine ingine , nimepata engine ya ist cc 1290 je kunaweza kuwa na tatizo hapo nikiweka hiyo ya ist interms of perfomance??
 
Unajaribu kutengeneza tatizo lingine. Tafadhali tafuta engine yenye spec kama uliyotoa.utaingia gharama kubwa hadi uchukie magari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi gx 100 cresta ni Sawa Tu gx 100 grande???
Watu hawajui,kama unahitaji gari ikupitishe kipindi cha mpito ni hizi GX100 wao wanakimbilia IST na Passo wanafikiria mafuta tu. Mimi ninayo siiuzi huwa inakaa kusubiri hali ngumu ndio naitumia. Watu kibao wananisumbua niwauzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu suala la ile engine,hii gari toyota porte ilikuwa na engine cc 1490 , sasa tumeamua kubadili, niweke engine ingine , nimepata engine ya ist cc 1290 je kunaweza kuwa na tatizo hapo nikiweka hiyo ya ist interms of perfomance??
Engine yake kama iliokufa haipatikani?
 
Mkuu Nina Carina Ti vip nitumie coolant ya rangi gani make hua ziko tofauti tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia 70 ya gari zinaharibikia kwenye garage za mitaani na hii ni sababu wamiliki wa hayo magari wanataka huduma za chap tu bila uhakika. Fundi anarekebisha tatizo moja na kukuwekea mengine mawili. TAFUTENI MAFUNDI WA UHAKIKA.
 
Nikweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…