Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,575
- 31,013
Nahitaji kuagiza Alibaba kamera ya kupiga picha za mnato na video namm sio mzoefu sana ila kwakua najifunza nimeona ni bora niwashilikishe.
Pesa sio tatizo ila nimeingia mtandaoni nikaona Canon 5D Mark IV na Nikon D850, hizi kamera zimenivutia sana zote zinatoa video zenye viwango (4k), japo siwezi kuchukua mbili Kwa pamoja ila ushauri wenu utakuwa maamuz yangu ipi Kati ya hizi ninunue
Lakini pia kama una ushauri wa kamera ipi inaweza kuwa nzuri zaidi ya hizo nilizotaja karibu maana naskia pia nikon D500 ni Moto wa kuotea mbali.