Nataka ninunue moja kwa moja bila kupitia kwa developer kwa sababu nilishawai kuwa na website/blog lakini mwisho wa siku sikuweza kuwa na access ya moja kwa moja ya kumiliki domain name ikawa kila mara inapotea hewani na developer kuirudisha anadai pesa nikawa kama mtumwa akijisikia anadai hela nikaamua kuachana nayo.
Now nataka kutengeneza Website lakini niweze kuwa na control domain yangu na niweze kuwa nalipia hela ya kuhost bila kuwa na mtu wa katikati ambaye mkitofautiana anapotea na kila kitu.