bodemasi
Member
- May 21, 2017
- 31
- 32
Uko vizuri sana. Nilisoma Box 2 so ulivyoelezea umenikumbusha mengi
Hahaahaaaaa wazee wa kulala stendi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko vizuri sana. Nilisoma Box 2 so ulivyoelezea umenikumbusha mengi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Champion, Embakasy na Kiswele.
Labda saiv iwe imechoka mi nlipanda 2016 ikiwa mupyaa asee nlienjoy kma nipo kwenye airbusAagh wapi.... Hamna kitu humo
Kwel mkuu wanaloga sana yan ilyana ilikuashidaSongea dar kwa sasa hakuna ushindani wa mabasi, kampuni ni 2tu. Super Feo na New Force.,hii inapelekea kushindwa kuchagua bus unalotaka.. Imani za kishirikina pia zipo pale yanapokuja mabasi mapya.. Kulikuwa na mabasi kama shabibi, illyana, sumry, Kilimanjaro exp, kiswele, na mengine nimeyasahau yamepotea ktk mazingira ya kutatanisha
Songea dar kwa sasa hakuna ushindani wa mabasi, kampuni ni 2tu. Super Feo na New Force.,hii inapelekea kushindwa kuchagua bus unalotaka.. Imani za kishirikina pia zipo pale yanapokuja mabasi mapya.. Kulikuwa na mabasi kama shabibi, illyana, sumry, Kilimanjaro exp, kiswele, na mengine nimeyasahau yamepotea ktk mazingira ya kutatanisha
Obrigado, madam!Nimempa tu kama Kigezo kimojawapo cha kuchagua basi zuri Mkuu,
Wengine huangalia Mpangilio wa siti, kuna ambazo mnabanana wa mbele na nyuma miguu hunyooshi vizuri unafika umechoka,
Wengine huangalia speed ya gari,
Wengine huangalia Nauli,
Wengine huangalia Kama kuna Refreshments njiani,
Kila mtu huchagua Bus kulingana na vigezo vyake.
Mie kigezo cha kwanza ni USB Charge ili niweze kuwa hewani siku nzima nsiwe bored. Manake Songea ni unatoka Dar saa 12 asubuhi unaingia Songea saa 3 au 4 usiku
OK, ndio umenijuza, kunywa cocaUsilolijua ni kwamba Hyo Selous na Super feo ni ya mtu mmoja tofauti jina tu ni kama vile New force na Golden deer
,SELOUS na SUPERFEO ni bosi mmoja..
Kwahiyo mapungufu yaliyoko Feo ndio hayohayo yako Selous.
Umesahau Scandinavia ExpressChampion, Embakasy na Kiswele.