Msaada: Ni basi gani zuri la kwenda Songea?

Msaada: Ni basi gani zuri la kwenda Songea?

Mabasi ya songea
1.selous_dar -songea kupitia Lindi,
2.superfeo dar-lindi-songea/ dar-moro-songea
3. New force_dar-moro-songea.
Kumbuka yafuatayo: njia zote umbali unalingana utofauti njia ya Lindi ni tulivu, mizani hakuna foleni na askari hawanaga usumbufu.
Kama unabeba mizigo mingi, mazagazaga kibao superfeo jiandae kulipia.
NAKUSHAURI PANDA SELOUS PITA NJIA YA LINDI.
 
Usilolijua ni kwamba Hyo Selous na Super feo ni ya mtu mmoja tofauti jina tu ni kama vile New force na Golden deer
 
Samahani,
Ni mgeni sijawahi kufika Songea na natarajia kwenda huko wiki ijayo,naomba kufahamishwa ni basi gani zuri kwenda huko kwa ndugu zangu wangoni?
Natoka Dar es salaam.
Natanguliza shukurani.
KITU ILYANA
 
Nathani misaada uliyopata inatosha.
Mods naomba ufute huu Uzi.
 
Nachojua New Force ana Zhong Tong Bus
Super Feo sikumbuki ana gari gani,

Ila Nikiendaga Songea na Super Feo hua nachajigi simu mwanzo-mwisho. Kwa New Force hua hakunaga USB pot so nachart nikiishiwa chaji nduio basi tena.

Mambo mengine naona yako sawa tu
Hahahahaaaa. Mkuu, hajauliza mabasi yenye chaja za simu. Anataka lililo zuri kwa safari. Anyway, natania tu. Ma bad!
 
Kama unatokea Dar, Panda Superfeo au Selou...
Na inategemea unataka kupitia Lindi au Iringa. Ukipitia Iringa, toka Njombe kwenda Songea kuna kona kalikali nyingi na bahati mbaya kona hizo mnapita usiku wa kuanzia saa Moja. Ruti ni Dar-Morogoro-Iringa-Makambako-Njombe Wino- Songea

Ukipitia Lini... Dar Nangurukulu- Lindi-Mnazi mmoja (Mingoyo)-Mtama-Ndanda-Masasi-Tunduru-Namtumbo-Songea

Tofauti ya umbali kwenye ruti hizo mbili ni kama 50 to 80kM, huku uelekeo wa Lindi ndiyo mbali kuliko wa Iringa. Nauli zinafanana na ni Tshs 46,000/- kwa sasa.

Kwa wingi wa askari wa barabarani kwa sasa, Songea utafika kati ya Saa 3 na saa 6 Usiku bila kujali ruti. Kama hutajali mambo ya adventure, nashauri upitie Lindi. Ruti zote zina lami hadi Songea, ila uelekeo wa Lindi hauna kona kona na milima mingi ukilinganisha na uelekeo wa Iringa.

Kwa uelekeo wa Iringa, chakula mnapata Ruaha Mbuyuni wakati huku kwingine Masasi

Safari inaanzia Ubungo.... Hivyo kama unakaa uelekeo wa Kimara, unaweza ukapandia njiani ILA UNATAKIWA USEME KWAMBA UTAPANDIA NJIANI (TAJA ENEO) WAKATI UNAKATA TIKETI. Na vile vile kama unakaa uelekeo wa Mbagala, Rangi 3 ndo kituo kikubwa baada ya kuwa lishaondoka Sudani

Tiketi unaweza ukakatia kariakoo, Ubungo, Temeke Sudani au Mbagala rangi tatu. Unaweza ukabuku na kulipa siku moja kabla ya safari, saa 6 mchana MWISHO

Vile vile unaweza ukabuku kwa simu na kulipa kwa simu na ukatafuta namna ya kuipata tiketi yako. Ukihitaji namba njoo inbobo nikupe

Msafiri Mwenzio wa kunyumba

Ngali K
Hawa traffic kwakweli ni too much sasa...

Songea enzi zile HOOD ilikua inaingia saa 12 from Dar..
 
Mabasi ya songea
1.selous_dar -songea kupitia Lindi,
2.superfeo dar-lindi-songea/ dar-moro-songea
3. New force_dar-moro-songea.
Kumbuka yafuatayo: njia zote umbali unalingana utofauti njia ya Lindi ni tulivu, mizani hakuna foleni na askari hawanaga usumbufu.
Kama unabeba mizigo mingi, mazagazaga kibao superfeo jiandae kulipia.
NAKUSHAURI PANDA SELOUS PITA NJIA YA LINDI.
SELOUS na SUPERFEO ni bosi mmoja..

Kwahiyo mapungufu yaliyoko Feo ndio hayohayo yako Selous.
 
Mabasi ya songea
1.selous_dar -songea kupitia Lindi,
2.superfeo dar-lindi-songea/ dar-moro-songea
3. New force_dar-moro-songea.
Kumbuka yafuatayo: njia zote umbali unalingana utofauti njia ya Lindi ni tulivu, mizani hakuna foleni na askari hawanaga usumbufu.
Kama unabeba mizigo mingi, mazagazaga kibao superfeo jiandae kulipia.
NAKUSHAURI PANDA SELOUS PITA NJIA YA LINDI.

Bomba dia haiendi??

What about njia ya Reli Tazara ashukie

makambako aendelee na safari kwa

coaster!!
 
Hahahahaaaa. Mkuu, hajauliza mabasi yenye chaja za simu. Anataka lililo zuri kwa safari. Anyway, natania tu. Ma bad!
Nimempa tu kama Kigezo kimojawapo cha kuchagua basi zuri Mkuu,
Wengine huangalia Mpangilio wa siti, kuna ambazo mnabanana wa mbele na nyuma miguu hunyooshi vizuri unafika umechoka,
Wengine huangalia speed ya gari,
Wengine huangalia Nauli,
Wengine huangalia Kama kuna Refreshments njiani,
Kila mtu huchagua Bus kulingana na vigezo vyake.

Mie kigezo cha kwanza ni USB Charge ili niweze kuwa hewani siku nzima nsiwe bored. Manake Songea ni unatoka Dar saa 12 asubuhi unaingia Songea saa 3 au 4 usiku
 
Usiwe bored ili insta iwe inakuliwaza
 
Back
Top Bottom