MSAADA: Ni Bank gani?

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,067
Reaction score
15,141
Ni Bank gani isiyokuwa na makato katika huduma ya Internet Banking?

Manake kuna Bank FEDENGE kila unapo log in kuangalia salio wanakula buku tano manina zao.

Sasa sijui ni Bank gani yaweza kuwa rafiki isiyo kuwa na makato ya kiduanzi.

Kwa yeyoye anaye fahamu anaweza kutupa mtonyo hapa hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…