Msaada: Neno ECONO linatokea katika dashboard ya Toyota Rav4 yangu

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
7,608
5,269
wadau naombeni msaada na suluhisho kuhusiana na neno la kijani ECONO linatokea katika dashboard toyota Rav4 yangu likitokea gari inakuwa nzito, je tatizo ni nini na suluhisho ni lipi!? Naombeni msaada.
 
Kirefu chake ni ECONOMY
Yaani unavyooendesha ikiwaka green na kuandika hivyo maana yake gari inakula mafuta kidogo na ndivyo inavyoyakiwa.
Ndio maana ukifika 100+ inazima
So worry not,na ujitahid kila uendeshapo iwake,vituo vya mufuta navyo utaona kama cheka time
 
Pia kama umeweka Overdrive on iweke Off itasaidia kufanya Gari isi Accelerate harafu i.e slow speed
 
Ahsanteni wadau kwa kutupa maujanja, na hii button ya ECT PWR iko hapa chini kwenye gear leaver ukibonyeza inaandika ECT PWR (la kijani) kwenye dashboard kazi yake ni nini?natumia toyota primeo,auto.
 
Kaka mkuu hii button ukiwasha inafanya gari ichelewe kubadilisha gia ndogo kwenda gia kubwa na Revolution per Minute au RPM yako inakua inavuta sana na kuongeza nguvu ya Gari. Hii kitu sio nzuri kwa wale 2naobana mafuta mkuu.
 
Kirefu chake ni ECONOMY
Yaani unavyooendesha ikiwaka green na kuandika hivyo maana yake gari inakula mafuta kidogo na ndivyo inavyoyakiwa.
Ndio maana ukifika 100+ inazima
So worry not,na ujitahid kila uendeshapo iwake,vituo vya mufuta navyo utaona kama cheka time

Nashukuru sana kwa msaada mkuu, je ukitaka kuizima unafanyaje?
 
Ni kweli mkuu nilikuwa naona inachelewa kubadili gear nikadhani ina tatizo.Lakini mi naona inachelewa kubadili kutoka gear kubwa kwenda ndogo mf.no.2 kwenda no.3.

Back
Top Bottom