NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 635
- 547
Kuna simu nimeletewa kutoka ng'ambo lakini kidogo inanichanganya.
No simu aina ya LG Phoenix 3. Wao wameandika 4G LTE, lakini ukiweka sim card kwenye mtandao inasoma we EDGE. Nimejaribu kuangalia setting kulingana na ufahamu wangu sijaona sehemu ya kutafutia na kuweka 4G. Ukisoma kwenye maelezo yake kwenye box wanadai inasapot LTE. Nimejaribu kuwasiliana na ndugu aliyenitumia anadai huko aliko zinafanya kazi.
Mwenye kuweza kunisaidia tafadhari nahitaji msaada.