Msaada Ndugu zangu.

tecnohailali

Senior Member
May 15, 2017
168
76
Salam kwenu.
Naomba kufahamu kwanini jf inawatumiaji wengi ambao majina ya id zao niyautata? Nahawaweki picha zao. Maana ukienda Facebook au Instagram unakuta jina halisi lamtu napicha yake halisi. Lakini huku jf nitofauti. Nataka kujuzwa kwanini. Nataraji majibu sahihi nasimatusi.
 
hivi unayajua mambo ya kuomba msaada kweli,acha kuutumia muda wako vibaya,hayo maswali rudi nayo facebook...
 
Salam kwenu.
Naomba kufahamu kwanini jf inawatumiaji wengi ambao majina ya id zao niyautata? Nahawaweki picha zao. Maana ukienda Facebook au Instagram unakuta jina halisi lamtu napicha yake halisi. Lakini huku jf nitofauti. Nataka kujuzwa kwanini. Nataraji majibu sahihi nasimatusi.
Kwanza kwanini wewe hujatumia jina halali na hujaweka picha yako halisi? Maana huenda jibu unalo ila unatuletea usumbufu tu hapa
 
ushasema huko fb na ig...kila sehemu kuna taratibu na sheria zake.huu mtandao wa kiutuuzima sana.....
 
Kwa sababu hii ni kama whistle blowing website.

Kwa hiyo kujibidiisha kusema mabaya ya serikali wakati ukianika sura yako hewani, wataku-ulimboka.......
 
Back
Top Bottom