Msaada ndugu zangu Pc yangu haifunguki

Msaada ndugu zangu Pc yangu haifunguki

kitonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
1,164
Reaction score
1,542
Habari wakuu..Nina laptop ya Dell..nimeiwasha Jana iliandika maneno hayo.msaada tafadhali.
IMG-20200409-WA0060.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu..Nina laptop ya Dell..nmeiwasha Jana iliandika maneno hayo.msaada tafadhali.View attachment 1416080

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa zako hazijajikamilisha... Dell model gani?

Bila shaka hiyo ni modern laptop

Je, Ulibadilisha operating system(au mnaita wondows)?

Tuanzie hapo...

Kama ni mtaalamu wa computer jaribu kuswitch between UEFI na Legancy kwenye bios huko.
 
partition ya C iliyo na window imecorupt
hii inatokana na bad sector halafu ww unakuwa uscan kuondoa hizo badsector
cha kufanya format mashine install window upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yah bro imeanza tu..Kuna mdau kasema harddisk itakua ndo ina shida..wengine wanasema windows..ndo nataka nikacheki vyote hivyo pamoja na ku install new windows.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aina mbili za partition za hard disks. Kuna MBR ambayo ni mfumo wa kizamani kidogo na kuna GPT ambao ni mfumo wa kisasa.

Kama sijakosea MBR huwa inaenda na Legancy/EFI na GPT huwa inaenda na UEFI.

Ukiona umeinterchange hapo basi ndio itakuandikia hayo maneno...
 
duh mkuu unaenda deep Sana .salute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom