Msaada ndugu yangu

Msaada ndugu yangu

Kwa hivyo nawe unashindwa kusoma unawaza bint anampenda nani!!
Kazi ipo!
 
ni aibu kwa msichana kuanzisha maongezi ilaaaaaa mh! yawezekana we ndo mlengwa😛layball:
 
Weka picha

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mwambie amwandikie barua huyo mtu ili umsaidie kuipeleka...
 
hahahahaaa nimemaanisha ningekuwa mwanaume bana
 
Mambo vp kuna binti mmoja nimejuana nae tu chuoni kivilee lakini cha kushangaza naona ananipima imani sijui anamanisha nn kila wakati tukiwa nae ananiambia anampenda sana mtu flani hadi anashindwa kulala hata akiwa drsn anamuona ubaoni yani kila nikikaanae ni hayo tu anaongea anasema amechanganyikiwa nae hajiwezi kila kimwambambia mtaje anazengua zengua NA KUANZA KUREMBUA KUANGALI CHINI hadi saivi namkwepa cjui nn hapo
Na wewe rembua na kutafunatafuna vidole na kusokotasokota majani wakati mnaongea.
 
hivi kumbe hayo mapenzi ya kuonana hadi ubaoni bado yapo...ngoja niangalie nione namuona nani kwenye glass halafu ntarudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom