Msaada: Ndugu yangu amepooza kuanzia kiunoni kushuka miguuni

We ni bogus! Unaropoka vitu vya ajabu sana! Wewe umeshawahi kushuhudia mtoto amezaliwa anaongea aya za kitabu fulani?! Eti kisa Mama aliingiliwa na majini?!

Jamii forums ni uwanja wa watu wenye upana wa fikra na mengi ya kuzungumza lakini watu wa namna yako Sijui mnakurupuka mkitokea wapi… duhh! Nina wasiwasi na uwezo wako wa fikra

Usipende kuzungumza kitu usichokijua.
Achana nae mkuu ni mfia dini mmoja hivi hana tofauti na mtu ambae amemezeshwa theory binaadamu alikuwa sokwe na anaamini hivyo sio kinyume na hivyo
 
Back
Top Bottom