Msaada ndugu; nimeibiwa simu aina ya samsung galaxy note 1... Nina full imei number

anonymousafrica

JF-Expert Member
Aug 24, 2016
611
639
NDUGU.. NIMEIBIWA SIMU AINA YA SAMSUNG GALAXY NOTE 1 ... NINA FULL IMEI NUMBER.. NAOMBA KWA DEVELOPER YEYOTE ANISAIDIE JINSI YA KUITRACK LOCATION SEHEM HII PHONE ILIPO AU ANISAIDIE KAUJUZI JINSI YA KUFANYA... SIWEZI KUWEKA IMEI NUMBER HADHARANI KWA SECURITY ZAIDI

msaada ndugu zangu

 
Ukimpata askari anayehusika na kitengo cha IT anaweza kufanya hiyo kazi vyema.
 
hyo si wanaenda kuchange imei tuu kazi inaisha labda kama aliekuibia ni mjinga lakini kuna simu hazibadilishiki imei kama htc sony etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…