Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,436
jumla kulikuwa watu wanne, mimi, mjomba wangu (anaishi), baba yangu mdogo (amefariki), na mwanamke mmoja ambaye ni mwanamke wa baba mdogo (sijawahi kumuona, nilimuona humo ndotoni)ukiwa peke yako umetulia anza kuchanganua mambo yalivyokuwa kama vile muda je ilikuwa usiku au mchana. namba, mfn watu wangapi walikuwapo, rangi zilizokuwapo katika ndoto yako kila kimoja kina maana katika ndoto.
naona kama ninachanganyikiwa, niende wapi nikafanyiwe maombi?
Nasikia kuna kitu kinaitwa deliveranceje ni wapi wanatoa huduma hii?
Hao wote ni wahuni, nenda kwenye kanisa ulilobatizwaLabda fanya kupita pita kwenye makanisa yote,kwasababu tayari imani yako ipo katika kuombewa,ingawa sina imani sana na makanisa ya siku izi mana maombi mengine hata mbu hayafukizi.
ila jaribu tu kuna kwa kakobe,lusekelo,rwakatare,mwingira,agape,siloam-makonde,gwajima,na mengine utakayoelekezwa.
Tubu,na utumie neno la wafu hawana ijara katikati ya walio hai,wakati unasaka izo delivarnc.
jumla kulikuwa watu wanne, mimi, mjomba wangu (anaishi), baba yangu mdogo (amefariki), na mwanamke mmoja ambaye ni mwanamke wa baba mdogo (sijawahi kumuona, nilimuona humo ndotoni)
Pia kwenye kile kifusi walisema lile shimo limechimbwa kama tanuri lililotimika kwenye wizi wa fedha za benki Brazil BBC NEWS | World | Americas | 'Record' bank robbery in Brazil .
Kulikuwa kumetawaliwa na rangi nyeupe
vizuri, maongezi yalikuwaje. tafakari kwa kina then utaelewa wakati mwingine ujumbe kwenye ndoto huwa si mbaya ila unakutahadharisha na upcoming events. si kila unapomuota mtu aliyekufa unaogopa wakati mwingine huna sababu ya kuogopa. tafakari rafiki woga unaweza usiwe na sababu.
angekwambia amekuja kukuchukua ungetaka kukemea roho ya mauti sasa hapo unaogopa nini?
Nimeota baba yangu mdogo aliye fariki mwaka jana ananiachia nyumba.
Nyumba ni kubwa sana na tupu.
pia kuna shimo kubwa mafano wa kaburi pembeni yake.
Hii ndoto imeniumiza sana kichwa, nimejaribu kutumia hekima za kiuanadamu nimeshindwa kupata majibu.
Naombeni msada ndugu zanguni kwani hata hapa kibaruani leo ufanisi wangu umeshuka mno
Unamjua mtu yeyote Mwenye nguvu ya Mungu? Mtafute akusidie kuomba hiyo roho iondoke kwako...In the name of Jesus.