Msaada: Ndege za kwenda Iringa

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,213
1,109
Naomba msaada wa kujua nauli na aina ya ndege inayokwenda Iringa leo hadi kesho.

Msaada.
 
AURIC AIR One way (Dar-Iringa Dolaza Kimarekani 145). Kwenda na Kurudi (Dar-Iringa-Dar) Dolaza Kimarekani 280. Karibu. Tembelea Ofisi zetu ama mawakala wetu walio/zilizo karibu nawe kwa maelekezo zaidi ya Muda wa kuondoka na mambo mengine yahusuyo "Kusafiri na AURIC Air"....
 
Back
Top Bottom