Mkuu nahitaji kufanyiwa marekebisho katika Application ya chuo , Hapo udom
Napiga Simu zenu hazipokelewi.
Email hazijibiwi.
Katika kuomba chuo nilikosea kuweka namba yangu ya First sitting, ambayo ndo nimeitumia kuomba mkopo .
Namba nilioweka ni ya second sitting
MSAADA WENU WAKUU MKUU