Msaada: Nawezaje kuona kozi ambazo hazijajaa kwa UDOM na Mzumbe

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
Nataka nifanye maombi ya kuhamia katika vyuo tajwa lakini nataka kujua kuna kozi gani ambazo zina nafasi ili niangalie kama ni kati ya zile ninazozihitaji.

Ahsante
 
Ingia kweny account yako ya tcu af nenda choose third round utaletewa vyuo vyote ambavyo havijajaa uvichaguee
 
ingia web ya mzumbe then utaona tangazo pale . utaona nafasi zote ambazo bado zipo wazi. chuo sio kigumu ila hakitaki mbwembwe na ujuaji mwingi nadhan na umarufu pia.
 
Kwa tahadhari bro usiombe Mzumbe.. Inahitajika nguvu kubwa mno kusoma pale..

Acha kuwapanikisha madogo kama umefeli wewe usifikirie kila mtu anafeli ...wewe ulipenda ngono sana ..safari za mikoani ndo ilikuwa kawaida yako ..usifikirie ungepata GPA nzuri afu unapanikisha madogo kizembe hivi .Guest zote wanakujua
 
Mzumbe Msijaribu nyie.. nendeni UDSM au UDOM..

Unataka kutuambia mzumbe kuna nini kipya ..acheni kuwapanikisha madogo waamini mzumbe ni chuo cha vipanga.....mnawaaminisha matango pori...mzumbe haifikii udsm..kwanza mzumbe ni managerial university only
 
Unataka kutuambia mzumbe kuna nini kipya ..acheni kuwapanikisha madogo waamini mzumbe ni chuo cha vipanga.....mnawaaminisha matango pori...mzumbe haifikii udsm..kwanza mzumbe ni managerial university only
hawana walijualo... ndio kwanza wameanza chuo hao, wamemaliza mwaka wa kwanza wanaenda wa pili... wengine ndio wanaingia watatu... wanaleta mbwembwe nyingi...
 
Back
Top Bottom