Msaada: Nawezaje kufanya hili

Msaada: Nawezaje kufanya hili

Slow learner

Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
18
Reaction score
8
Habari zenu wakuu

Binafsi sio mtaalamu wa computer, wala sina ujuzi wowote kwenye issues za IT but navutiwa sana na maswala hayo.

Naomba kuuliza, je, naweza kutengeneza android app nikiwa sina idea yoyote ya Computer programming?

Nawasilisha.
 
Inategemea na Aina ya application, unaweza tumia wordpress ama templates mbalimbali ambazo zipo codecanyon kutengeneza simple application,

App nyingi unazoziona mtaani ni za namna hii.

Kama ni kitu complex ndio utahitaji msaada wa utaalamu zaidi.
 
Kwa

Kwa mfano nikihitaji kutengeneza ambayo ni online store kama kupatana au kikuu,is it possible..!!??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom