Msaada: Naweza kuomba ajira kwa matokeo ya muhula mmoja?

shekigenda

Member
Mar 8, 2016
74
26
Ndugu naitaji kuomba kazi katika kampuni flani hapa nchini ivi naweza kuimba kazi hiyo kwakutumia matokeo yangu ya semister moja kwasababu bado sijamaliza chuo ila usawa wapesa hausomi vizuri .
 
Ikiwezekana omba introduction letter kutoka chuoni kwako,then tafuta copy ya matokeo yako ya semister zilizopita alafu ambatanisha na vitu vingine kama Birth certificate,o level certificate etc
Hapo unaweza kufanikiwa.
 
Ndugu naitaji kuomba kazi katika kampuni flani hapa nchini ivi naweza kuimba kazi hiyo kwakutumia matokeo yangu ya semister moja kwasababu bado sijamaliza chuo ila usawa wapesa hausomi vizuri .
Ndio wasomi wetu hawa,wamejizoesha kila kitu kuuliza kwa ufupi!
Nakushauri google,ila kama unataka ushauri wetu sisi binadamu jieleze kwa kirefu tuje na ushauri yakinifu!
 
Ndugu naitaji kuomba kazi katika kampuni flani hapa nchini ivi naweza kuimba kazi hiyo kwakutumia matokeo yangu ya semister moja kwasababu bado sijamaliza chuo ila usawa wapesa hausomi vizuri .

Inawezekana kwenye private company..serikalini haiwezekani
 
Mbona kuna kazi unaomba bila cheti? Huko mitaani, wote wanavyeti? Inategemea na aina ya kazi, zipo hazihitaji vyeti
 
Back
Top Bottom