Msaada: Naweza kufika Namibia kwa basi?

Aisee wenye bahati zao aisee
 
Mkuu narudia tena tafuta sehemu ya kufikia SA sio Namibia kufanikiwa ni ngumu sana pale nina experience ya Nchi za kusini kwa muda mrefu kwa sasa Sikai sana SA nasafiri sana ila still naweza nikafanya mpango wa wewe ukapata sehemu ya kufikia ukaa huku ukitafutiwa kitu cha kufanya na hasa kama unaweza kupaka rangi gari au kunyosha,kuchomelea(welding) Umeme wa magari Fundi au plumber utoke na ujuzi bongo itasaidia Namibia hela hakuna zipo kwa wafanyakazi tuu miji yao misafi ila pagumu bora hata Botswana...
 
Kwa hili ulilosema mi nipo tayari kwenda hata kwa miguu... Ikibidi kuwaosha wazee waki pooh ntafanya hivyo.....


 

Asante mkuu kwa ushaur wako huu nitaanzia botswana
 
Mimi nitakuunganisha na mdada mmoja hivi nurse wa Kibongo uwe unaosha rungu Windhoek

Mkuu mwekundu,vp kuhusu vissa ? Je naweza kuingia kimagumashi kama wasomali wanavyoingia kwetu,vp nikiwa na ile passport ya miezi 3 au sita si naweza kuingia tu au?
 
Mkuu mwekundu,vp kuhusu vissa ? Je naweza kuingia kimagumashi kama wasomali wanavyoingia kwetu,vp nikiwa na ile passport ya miezi 3 au sita si naweza kuingia tu au?
Ni nchi ya SADC kinachohitajika ni passport tu,ukikaa zaid ya miez mitatu visa ya work permit itahusika
 
Ni nchi ya SADC kinachohitajika ni passport tu,ukikaa zaid ya miez mitatu visa ya work permit itahusika

Asante mkuu ,kweli sijutii kua member wa jf napata elimu bila gharama kubwa
 
Daah,nyuzi za wabongo kuikimbia Tanganyika zinaongezeka kila siku...
 
Unajuaje hali ya maisha yake, kama je ameshatoka kimaisha?!!!
 
sasa poti mkikimbia wote inji mna muachia nani?tukomaee tu na tulime mbaaz ukiotea msimu unatoboa
tukiondoka na kuacha jangwa la uhaba wa watu.... watatuita tu tena kwa vishawishi au vivutio vizuri mnooo... tofauti na sasa...!

chukua mfano huu... nkurunzinza anatka wakimbizi wake warudi na baadhi wameanza kurudishwa
kagame ana taka kuongeza idadi ya watu kwa kuchukua wahamiaji halamu toka kule libya
China imeongeza family size kwa kuwa wachina wengi kwa sasa wanasafiri na kwenda kuwekeza nje kwa kasi...

ila kwa tz kigoma ni mkoa usio isha watu pamoja na kupelekewa treni, mabasi na usafiri wa anga
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…