ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,847
Umevurugwa ww huko uendako fursa ni chachemkuu mimi nawaza kwenda sychellies au mauritius ni kila ulaia wa mauritius nadondoka monaco kama naenda zenji... na monaco to ufaransa ni kugusa hivyo... nategemea kutafuta uraia tofauti na huu... maana hapa kwetu... tia maji tia maji hali si shwari... tuna umizana kwa makusudi nchi yetu sote lakini wengine wanatutumia kama matambala ya deki,,,, wana tuona kama wajinga .... ina kera sana....
tuta rudi kama wawekezaji.... wakina payet, nani na wengine wametokea tulipo wameenda walipo... na sisi tusonge mbele ndio maendeleo tusibaki hapa hapa na kulia lia tu wakati fursa si lazima hapa nchini tu
ukilinganisha na tz, tunazungumza kwa uzoefu
nafikiri challenge kubwa iliyopo kwa vijana wa tz
ni mitaji.