Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,644
Nji wanamuachia mzee mwenye frustrationsasa poti mkikimbia wote inji mna muachia nani?tukomaee tu na tulime mbaaz ukiotea msimu unatoboa
Nji wanamuachia mzee mwenye frustrationsasa poti mkikimbia wote inji mna muachia nani?tukomaee tu na tulime mbaaz ukiotea msimu unatoboa
Poa mkuu...Pm iko wazi mbona ngoja nku pm
Ova
Aisee wenye bahati zao aiseeMkuu pako vizuri tuu mimi truck zinapita Botswana harafu Zambia huko kwingine tulipita miaka hiyo hata Katima muliro daraja halijajengwa njia fupi ya kwenda Cape town au kutoka na gari kule maana Windhoek na Cape Town sio mbali kuliko kuitafuta Johannesburg tena 1500km..
Nimerespond mkuuNshaku pm
Ova
Kwa kazi za Ovyo Ovyo utapata muda wa kuingia JF kutupa mrejesho?asante sn mkuu nategemea january kuanza safari nitaleta mrejesho
Ha ha mtaalamu wa Tanga ,hapana kuna watoto wakali sana kule halafu wanaume wao wana gozi na wanakula sana vyakula vya supermarket (hua hawalimi na supermarket kwao ni necessity sio luxury so hadi mswaki ,kibiriti,misosi-raws inabidi ufuate supermarket) hawana nguvu akikutana na mashine ya kibongo lazima aombe pooh[emoji23]
Mkuu narudia tena tafuta sehemu ya kufikia SA sio Namibia kufanikiwa ni ngumu sana pale nina experience ya Nchi za kusini kwa muda mrefu kwa sasa Sikai sana SA nasafiri sana ila still naweza nikafanya mpango wa wewe ukapata sehemu ya kufikia ukaa huku ukitafutiwa kitu cha kufanya na hasa kama unaweza kupaka rangi gari au kunyosha,kuchomelea(welding) Umeme wa magari Fundi au plumber utoke na ujuzi bongo itasaidia Namibia hela hakuna zipo kwa wafanyakazi tuu miji yao misafi ila pagumu bora hata Botswana...
Mimi nitakuunganisha na mdada mmoja hivi nurse wa Kibongo uwe unaosha rungu Windhoek
Sawa mkuu asante kwa ushauriSi angehudumia wazee hapa hapa bongo? Kuna wazee wengi wanahitaj kuhudumiwa why ukahudumie
Mimi nitakuunganisha na mdada mmoja hivi nurse wa Kibongo uwe unaosha rungu Windhoek
Ni nchi ya SADC kinachohitajika ni passport tu,ukikaa zaid ya miez mitatu visa ya work permit itahusikaMkuu mwekundu,vp kuhusu vissa ? Je naweza kuingia kimagumashi kama wasomali wanavyoingia kwetu,vp nikiwa na ile passport ya miezi 3 au sita si naweza kuingia tu au?
Ni nchi ya SADC kinachohitajika ni passport tu,ukikaa zaid ya miez mitatu visa ya work permit itahusika
Unajuaje hali ya maisha yake, kama je ameshatoka kimaisha?!!!Ukiondokana na fikra hizi.....utapiga hatua kubwa sana kwenye maisha yako zaidi ya hata hapo ulipo
Nguvu kubwa ,muda na akili unavyotumia kwenye siasa ungevielekeza kwenye maisha yako ungekuwa umefanya maamuzi yenye busara Na manufaa sana
NB:
SI KWA UBAYA.....
tukiondoka na kuacha jangwa la uhaba wa watu.... watatuita tu tena kwa vishawishi au vivutio vizuri mnooo... tofauti na sasa...!sasa poti mkikimbia wote inji mna muachia nani?tukomaee tu na tulime mbaaz ukiotea msimu unatoboa