Shmaider JF-Expert Member Joined Oct 2, 2015 Posts 406 Reaction score 120 Sep 1, 2017 #1 Jamani hili tatizo linaninyima amani upande wa minala inasimama bila kutingishika lakini nikifungua Data haitulii inapanda nakupotea shida ninini na ufumbuzi wake niupi? Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani hili tatizo linaninyima amani upande wa minala inasimama bila kutingishika lakini nikifungua Data haitulii inapanda nakupotea shida ninini na ufumbuzi wake niupi? Sent using Jamii Forums mobile app
PrincessAnne JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 1,875 Reaction score 2,229 Sep 1, 2017 #2 duuh simu za siku nyingi shida itakua imeshapitwa na wakati nunua nyingine tu
Shmaider JF-Expert Member Joined Oct 2, 2015 Posts 406 Reaction score 120 Nov 4, 2017 Thread starter #3 PrincessAnne said: duuh simu za siku nyingi shida itakua imeshapitwa na wakati nunua nyingine tu Click to expand... Ok sante nimeshaiuza kitambo maana duh weacha tu
PrincessAnne said: duuh simu za siku nyingi shida itakua imeshapitwa na wakati nunua nyingine tu Click to expand... Ok sante nimeshaiuza kitambo maana duh weacha tu