CHELSEA SIMBA 7
Member
- Oct 27, 2017
- 57
- 84
Wana JF wenzangu.
Naomba kuelekezwa njia au utaratibu wa kufuata ili nitimize ndoto yangu ya kuwa officer kwenye jeshi la wananchi wa Tanzania.
Sifa zangu
1. Nina miaka 27
2. Mtanzania
3. Nina Bachelor of science in Telecommunicatiins Engineering from UDSM. Nilimaliza mwaka jana (2016)
4. Nina upper second class as per GPA
Naomba msaada wa procedure za kufuata