jeshi linatakiwa kuwa na wasomi wa kada mbalimbali kwa sababu kwa sasa kuna VITA VYA KIUCHUMI BAINA YA NCHI NA NCHI mambo yale ya kumfuata id amin hakuna tena nyakati hizi, jaribu kufikiri kanchi fulani kamfuate mrusi eti wakapigane on war-field utapotezwa faster maana saizi watu wanakupiga wakiwa ofisini tu, sasa shughuli kama hiyo inahitaji wasomi pia tujaribu kujifunza kwa anachofanya north Korea
JESHI LA TZ LINAHITAJI MABADILIKO YA KITECHNOLOGIA SIO PROPAGANDA TU NA KUPANDISHWA VYEO
jeshi letu hata halichangii kwa chochote kwenye uchumi zaidi ya kutumia
Ukijiuliza maswali haya unaona kabisa jeshi la tz linahitaji REFORMATION