Kama unatumia windows, turn on network discovery kompyuta zote.
Hapo utaona public folders za kompyuta, kama utahitaji kuona folders inabidi uruhusu acccess ya kushare.
Kushare printer, fungua sehemu ya open network & internet settings.
Kwenye kompyuta iliyounganishwa na printa.
-> change advanced sharing settings.
Kwenye sehemu ya file and printer sharing, chagua hiyo option.
Kisha nenda sehemu ambayo inaonyesha printers and devices kwenye control panel.
Chagua printer unayotaka kushare, righ na ufungue printer property, kisha bonyeza sehemu sharing then utachagua option ya kushare.
Hapo printer itaonekana kwenye kompyuta zote.
Kwenye komputer nyingine right click printer kisha bonyeza connect.
Huwa natumia sana hii nikitaka ku-print document zilizo kwenye simu kwa kutumia wifi.